
Utapeli wa Forex — Ndoano Saba
Account manager, faida ya uhakika, Ponzi, robot wa kichawi… na kwa nini mjomba wako anaweza kukuingiza bila kujua.
Inakuja kwenye YouTube na TelegramHatulipwi na broker yeyote, wala hatupati kamisheni kutoka kwenye trading yako.
Hakuna broker anayeweza kununua nafasi kwenye video zetu.
Hatuuzi signals, hatuna group la kulipia. Tunafundisha tu.
Tukiona broker anadanganya, hata akiwa mkubwa, tutasema wazi, kwa ushahidi, na tutampa nafasi ya kujibu.

Account manager, faida ya uhakika, Ponzi, robot wa kichawi… na kwa nini mjomba wako anaweza kukuingiza bila kujua.
Inakuja kwenye YouTube na Telegram
"Asilimia tatu kila siku", ada ya kufungua, robot wa AI, pump and dump, rug pull, app feki na seed phrase.
Inakuja kwenye YouTube na TelegramFXSimba haitakupigia simu, haitakutumia DM kwanza, na haitakuomba pesa wala seed phrase. Mtu akijifanya FXSimba na kukuomba pesa, ni mtapeli.
Indicators kwa lugha rahisi: RSI, Moving Averages, MACD, Bollinger Bands, Support & Resistance, Candlesticks, Stop Loss na Position Sizing.
Video mpya, maswali na majibu: kila kitu kinaanzia kwenye channel yetu ya Telegram.